sw_jhn_text_ulb/08/07.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 7 (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Walipoendelea kumwuliza, alisimama na kuwaambia, "Yeye asiyekuwa na dhambi miongoni mwenu, awe wa kwanza kumponda mawe." \v 8 Akainama tena chini, akaandika katika ardhi kwa kidole chake.