sw_jhn_text_ulb/08/04.txt

1 line
396 B
Plaintext

\v 4 (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Ndipo wakamwambia Yesu, "Mwalimu, mwanamke huyu amekamatwa katika uzinzi, katika kitendo kabisa. \v 5 Sasa, katika sheria, Musa ametuamuru kuwaponda mawe watu kama hawa, unasemaje juu yake? \v 6 Walisema haya ili kumtega ili kwamba wapate jambo la kumshitaki, lakini Yesu akainama chini akaandika katika ardhi kwa kidole chake.