sw_jhn_text_ulb/07/28.txt

1 line
255 B
Plaintext

\v 28 Yesu alikuwa akipaza sauti yake hekaluni, akifundisha na kusema, "Ninyi nyote mnanijua mimi na mnajua nitokako. Sikuja kwa nafsi yangu, bali yeye aliyenituma ni wa kweli, na hamumjui yeye. \v 29 Ninamjua yeye kwa sababu nimetoka kwake na alinituma."