sw_jhn_text_ulb/07/14.txt

1 line
297 B
Plaintext

\v 14 Wakati sikukuu ilipofika katikati, Yesu alipanda kwenda Hekaluni na kuanza kufundisha. \v 15 Wayahudi walikuwa wakishangaa na kusema, "Kwa jinsi gani mtu huyu anajua mambo mengi? Hajasoma kamwe." \v 16 Yesu akawajibu na kuwaambia, "Mafundisho yangu siyo yangu, bali ni yake yeye aliyenituma.