sw_jhn_text_ulb/07/12.txt

1 line
227 B
Plaintext

\v 12 Kulikuwa na majadiliano mengi miongoni mwa makutano juu yake. Wengine walisema, "Ni mtu mwema." Wengine walisema, "Hapana, huwapotosha makutano." \v 13 Hata hivyo hakuna aliyezungumza wazi juu yake kwa kuwaogopa Wayahudi.