sw_jhn_text_ulb/07/03.txt

1 line
277 B
Plaintext

\v 3 Ndipo ndugu zake walipomwambia, "Ondoka mahali hapa uende Uyahudi, ili kwamba wanafunzi wako vile vile wayaone matendo ufanyayo. \v 4 Hakuna afanyaye lolote kwa siri iwapo yeye mwenyewe anataka kujulikana wazi. Iwapo unafanya mambo haya, jionyeshe mwenyewe kwa ulimwengu."