\v 62 Basi itakuaje mtakapomwona mwana wa Adamu akishuka kutoka alikokuwa kabla? \v 63 Ni Roho ndiye atoaye uzima. Mwili haufaidii kitu chochote. Maneno niliyoyasema kwenu ni roho na ni uzima.