sw_jhn_text_ulb/06/60.txt

1 line
241 B
Plaintext

\v 60 Ndipo wengi wa wanafunzi wake waliposikia haya, wakasema, "Hili nifundisho gumu ni nani awezaye kulipokea?" \v 61 Yesu kwa sababu alijua ya kuwa wanafunzi wake walikuwa wakilinung'unikia jambo hili, akawambia je jambo hili linawakwaza?