sw_jhn_text_ulb/06/41.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 41 Kisha wayahudi wakamnung`unikia kumhusu yeye kwa sababu alisema, "Mimi ni mkate ulioshuka kutoka mbinguni." \v 42 Wakasema, "Huyu siyo Yesu mwana wa Yusuph, ambaye baba yake na mama yake tunamfahamu? Imekuwaje sasa anasema, 'Nimeshuka kutoka mbinguni`?"