sw_jhn_text_ulb/06/01.txt

1 line
282 B
Plaintext

\v 1 Baada ya mambo haya, Yesu alienda pande za Bahari ya Galilaya, pia huitwa Bahari ya Tiberia. \v 2 Mkutano mkubwa ulikuwa ukimfuata kwa sababu waliona ishara alizozifanya kwa waliokuwa wagonjwa. \v 3 Yesu alipanda juu hadi upande wa juu wa mlima na akakaa huko na wanafunzi wake