sw_jhn_text_ulb/05/45.txt

1 line
286 B
Plaintext

\v 45 Msidhani mimi nitawashitaki mbele za Baba. Anayewashitaki ninyi ni Musa, ambaye ninyi mmeweka matumaini yenu kwake. \v 46 Kama mngekuwa mnamwamini Musa, mngeniamini mimi kwa sababu aliandika kuhusu habari zangu. \v 47 Kama hamuamini maandiko yake, mtawezaje kuamini maneno yangu.?