sw_jhn_text_ulb/05/07.txt

1 line
217 B
Plaintext

\v 7 Yule mgonjwa akamjibu, "Bwana sina mtu, wa kuniweka katika birika wakati maji yanapotibuliwa. Wakati ninapojaribu kuingia mtu mwingine hunitangulia." \v 8 Yesu akamwambia, "Inuka na uchukue godoro lako na uende."