sw_jhn_text_ulb/04/51.txt

1 line
193 B
Plaintext

\v 51 Alipokuwa akishuka, watumishi wake walimpokea na kumwambia mwana wake alikuwa mzima. \v 52 Hivyo akawauliza ni muda gani alipata nafuu. Wakajibu, "Jana muda wa saa saba homa ilipomwacha."