sw_jhn_text_ulb/04/41.txt

1 line
221 B
Plaintext

\v 41 Na wengi zaidi wakamwamini kwa sababu ya neno lake. \v 42 Wakamwambia yule mwanamke, "Tunaamini sio tu kwa maneno yako, kwa sababu sisi wenyewe tumesikia, na sasa twafahamu kuwa hakika yeye ni mwokozi wa ulimwengu."