sw_jhn_text_ulb/04/28.txt

1 line
216 B
Plaintext

\v 28 Hivyo mwanamke akauacha mtungi wake na akaenda mjini na akawambia watu, \v 29 "Njooni mwone mtu aliyeniambia mambo yangu yote niliyoyatenda, je yawezekana akawa ndiye Kristo?" \v 30 Wakatoka mjini wakaja kwake.