sw_jhn_text_ulb/03/34.txt

1 line
305 B
Plaintext

\v 34 Kwa sababu yeye aliyetumwa na Mungu huongea maneno ya Mungu. Kwa kuwa hampi Roho kwa kipimo. \v 35 Baba humpenda Mwana na amempa vitu vyote mikononi mwake. \v 36 Yeye amwaminiye Mwana anao uzima wa milele, lakini kwa yeye asiye mtii Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mungu hushikamana juu yake.