sw_jhn_text_ulb/02/23.txt

1 line
318 B
Plaintext

\v 23 Basi alipokuwa Yerusalemu wakati wa Pasaka, wakati wa sikukuu watu wengi waliamini jina lake, walipoona ishara ya miujiza aliyoifanya. \v 24 Lakini Yesu hakuwa na imani nao kwa sababu aliwajua wanadamu wote. \v 25 Hakuhitaji mtu yeyote kumwambia kuhusu walivyo wanadamu kwa sababu alijua kilichokuwamo ndani yao.