sw_jhn_text_ulb/01/06.txt

1 line
253 B
Plaintext

\v 6 Palikuwa na mtu aliyetumwa kutoka kwa Mungu, ambaye jina lake alikuwa Yohana. \v 7 Alikuja kama shahidi kushuhudia kuhusu ile nuru, ili kwamba wote waweze kuamini kupitia yeye. \v 8 Yohana hakuwa ile nuru, bali alikuja ili ashuhudie kuhusu ile nuru