sw_jhn_text_ulb/01/04.txt

1 line
127 B
Plaintext

\v 4 Ndani yake kulikuwa uzima, na huo uzima ulikuwa nuru ya wanadamu wote. \v 5 Nuru yang'aa gizani, wala giza halikuizimisha.