sw_act_text_ulb/20/13.txt

1 line
276 B
Plaintext

\v 13 Sisi wenyewe tulitangulia mbele ya Paul kwa meli na tukaelekea Aso, ambapo sisi tulipanga kumchukua Paul huko. Hiki ndicho yeye mwenyewe alitaka kufanya, kwa sababu alipanga kwenda kupitia nchi kavu. \v 14 Alipotufikia huko Aso, tukampakia kwenye Meli tukaenda Mitilene.