sw_act_text_ulb/08/36.txt

1 line
354 B
Plaintext

\v 36 Wakiwa njiani, wakafika penye maji,' towashi akasema, "Tazama, pana maji hapa nini kinazuia nisibatizwe?, \v 37 maneno haya, "Hivyo Muethiopia akajibu "naamini kwamba Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu," hayamo kwenyemaandiko ya kale). Ndipo Muethiopia akaamuru gari lisimame. \v 38 Walikwenda ndani ya maji, pamoja Filipo na towashi, Filipo akambatiza.