sw_act_text_ulb/08/29.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 29 Roho akasema na Filipo, "Sogea karibu na gari hili ukashikamane nalo. \v 30 "Hivyo Filipo akaenda mbio, akamsikia akisoma katika chuo cha nabii Isaya; akasema, Je unafahamu unachosoma?" \v 31 Muethiopia akasema, "nitawezaje mtu asiponiongoza?" Akamsihi Filipo apande garini na kuketi pamoja naye.