sw_act_text_ulb/27/23.txt

1 line
459 B
Plaintext

\v 23 Kwa sababu usiku uliopita malaika wa Mungu, ambaye huyo Mungu mimi ni wake, na ambaye ninamwabudu pia - malaika wake alisimama pembeni mwangu \v 24 na kusema, "Usiogope Paulo. Lazima usimame mbele ya Kaisari, na tazama, Mungu katika wema wake amekupa hawa wote ambao wanasafiri pamoja nawe. \v 25 Hivyo, wanaume, jipeni moyo, kwa sababu namwamini Mungu, kwamba itakuwa kama nilivyoambiwa. \v 26 Lakini lazima tuumie kwa kupigwa katika baadhi ya visiwa."