sw_act_text_ulb/12/22.txt

1 line
184 B
Plaintext

\v 22 Watu wakapiga kelele, "Hii ni sauti ya mungu wala si sauti ya mwanadamu!" \v 23 Mara ghafla malaika akampiga, kwa sababu alikuwa hakumpa Mungu utukufu; akaliwa na chango na akafa