sw_act_text_ulb/11/27.txt

1 line
232 B
Plaintext

\v 27 Na katika siku hizi manabii wakashuka kutoka Yerusalemu mpaka Antiokia. \v 28 Mmoja wao ni Agabo ndilo jina lake, akasimama akiashiriwa na Roho kuwa njaa kali itatokea ulimwenguni mwote. Hii ilitokea wakati wa siku za Klaudio.