sw_act_text_ulb/11/25.txt

1 line
233 B
Plaintext

\v 25 Baadaye Barnaba alienda Tarso kumwona Sauli. \v 26 Alipompata, akamleta Antiokia. Ikawa kwa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi wakaitwa wakristo kwa mara ya kwanza huko Antiokia.