sw_act_text_ulb/11/17.txt

1 line
261 B
Plaintext

\v 17 Pia kama Mungu ametoa zawadi kama alizotupa sisi tulipoamini katika Bwana Yesu Kristo, mimi ni nani, kwamba naweza kumpinga Mungu? \v 18 Waliposikia mambo haya, hawakurudisha, bali walimsifu Mungu na kusema, "Mungu ametoa toba kwa ajili ya wa mataifa pia"