sw_act_text_ulb/11/15.txt

1 line
204 B
Plaintext

\v 15 Nilipoanza kusema nao, Roho mtakatifu akaja juu yao kama alivyokuja kwetu mwanzoni. \v 16 Nakumbuka maneno ya Bwana, alivyosema, "Yohana alibatiza kwa maji; lakini mtabatizwa katika Roho mtakatifu."