sw_act_text_ulb/11/11.txt

1 line
487 B
Plaintext

\v 11 Tazama, wakati huo watu watatu walikuwa wamesimama mbele ya nyumba ile tulimokuwa; wametumwa kutoka Kaisaria kuja kwangu. \v 12 Roho akaniambia kwenda nao, na nisitofautiane nao. Hawa wanaume sita wakaenda pamoja na mimi na tuliende kwenye nyumba ya mtu mmoja. \v 13 Alituambia vile alivyomwona malaika amesimama ndani ya nyumba yake akisema, "Nitume Yafa nikamlete simoni ambaye jina lake lingine ni Petro. \v 14 Atasema ujumbe kwako katika huo utaokoka wewe na nyumba yako yote."