sw_act_text_ulb/11/07.txt

1 line
363 B
Plaintext

\v 7 Kisha nikasikia sauti ikisema nami, "Amka, Petro, chinja naj ule!" \v 8 Nikasema, "Siyo hivyo, Bwana, mdomoni mwangu hakujawahi kuingia kitu chochote kisicho kitakatifu au kichafu" \v 9 Lakini sauti ikajibu tena kutoka Mbinguni, kile Mungu alichokitangaza kuwa ni safi, usikiite najisi, \v 10 Hii ilitokea mara tatu, na kila kitu kikachukuliwa mbinguni tena.