sw_act_text_ulb/11/04.txt

1 line
387 B
Plaintext

\v 4 Lakini Petro alianza kueleza tukio kwa kina; akisema, \v 5 "Nilikuwa naomba katika mji wa Yafa, na nikaona maono ya chombo kikishuka chini kama nguo kubwa ikishuka kutoka mbinguni katika pembe zake zote nne. Kikashuka kwangu. \v 6 Nilikitazama na kufikiri juu yake. Nikaona wanyama wenye miguu minne waishio katika nchi, na wanyama wa polini na wanyama watambaao na ndege wa angani.