sw_act_text_ulb/11/01.txt

1 line
253 B
Plaintext

\v 1 Mitume na ndugu wale waliokuwa huko Yudea walisikia kuwa wamataifa wamelipokea neno la Mungu. \v 2 Petro alipokuja huko Yerusalemu, lile kundi la watu waliotahiriwa wakaanza kumkosoa, Wakisema, \v 3 "Umeshikamana na watu wasiotahiriwa na kula nao!"