\v 18 Wakati Simoni alipoona kwamba Roho Mtakatifu ametolewa kupitia kuwekewa mikono na mitume; akataka kuwapa pesa, \v 19 Akasema, "Nipeni hii nguvu, ili kila nitakayemwekea mikono apokee Roho Mtakatifu."