\v 4 waaminio ambao walikuwa wametawanyika bado walilihubiri neno. \v 5 Filipo akashuka katika mji wa Samaria na akamtangaza Kristo huko.