sw_act_text_ulb/20/25.txt

1 line
251 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 25 Na sasa, tazama, najua kwamba wote, miongoni mwa wale nilioenda kuwahubiri Ufalme, hamtaniona uso tena. \v 26 Kwa hiyo nawashuhudia leo hii, kwamba sina hatia kwa damu ya mtu yeyote. \v 27 Kwa maana sikujizuia kuwatangazia mapenzi yote ya Mungu.