sw_act_text_ulb/20/04.txt

1 line
426 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 4 Walioandamana naye hadi Asia walikuwa Sopatro, mwana wa Pirho kutoka Berea; Aristariko na Sekundo, wote kutoka waamini wa Wathesalonike; Gayo wa Derbe; Timotheo; Tikiko na Trofimo kutoka Asia. \v 5 Lakini watu hawa wamekwisha tangulia na walikuwa wanatungojea kule Troa. \v 6 kwa njia ya Bahari kutoka Filipi baada ya siku za mikate isiyotiwa chachu, na katika siku tano tukawafikia huko Troa. Tulikaa huko kwa siku saba.