sw_act_text_ulb/08/20.txt

1 line
382 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 20 Lakini Petro akamwambia; pesa yako pamoja na wewe ipotelee mbali, kwa sababu umedhani kuwa karama ya Mungu inapatikana kwa pesa. \v 21 Hauna sehemu katika jambo hili, kwa sababu moyo wako si mnyoofu mbele za Mungu. \v 22 Hivyo basi tubu maovu yako na kumwomba Mungu labda utasamehewe fikra za moyo wako. \v 23 Kwa maana naona uko katika sumu ya uchungu na kifungo cha dhambi."