commit ea17e4de6e9bd45a500d3bfccea984b4a09486d0 Author: tom_machinga Date: Thu Mar 17 09:03:22 2022 +0200 Thu Mar 17 2022 09:03:22 GMT+0200 (South Africa Standard Time) diff --git a/01/01.txt b/01/01.txt new file mode 100644 index 0000000..f4ac92c --- /dev/null +++ b/01/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 1 Mzee, kwa Gayo mpenzi, ninayempenda katika kweli. \v 2 Mpendwa, nakuombea ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya njema, kama vile roho yako inavyofanikiwa. \v 3 Maana nilifurahi sana wakati nilipoambiwa na ndugu waliokuja na kutoa ushuhuda juu ya kweli yako, kama vile unavyoenenda katika kweli. \v 4 Sina furaha kubwa zaidi ya hii, kusikia kwamba watoto wangu wanatembea katika kweli. \ No newline at end of file diff --git a/01/05.txt b/01/05.txt new file mode 100644 index 0000000..3c6de33 --- /dev/null +++ b/01/05.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 5 Mpendwa, unaenenda kwa uaminifu unapowahudumia ndugu na wageni, \v 6 ambao wametoa ushuhuda wa upendo wako mbele ya kanisa. Unafanya vizuri kuwasafirisha katika safari zao kwa namna ambayo inampendeza Mungu. \v 7 Kwa sababu kwa ajili ya Jina, walienda bila kuchukua kitu chochote kutoka kwa watu wa Mataifa. \v 8 Hivyo, tunatakiwa kuwakaribisha watu kama hawa, ili tuwe watenda kazi wenza kwa ajili ya kweli. \ No newline at end of file diff --git a/01/09.txt b/01/09.txt new file mode 100644 index 0000000..453e152 --- /dev/null +++ b/01/09.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 9 Nililiandikia kusanyiko jambo fulani, lakini Diotrofe, anayependa kuwa wa kwanza miongoni mwao, hakubaliani na sisi. \v 10 Hivyo, kama nikija nitayakumbuka matendo yake anayoyafanya, jinsi anavyosema maneno mabaya kinyume nasi. Hajaridhika na matendo haya, yeye mwenyewe hawapokei ndugu. Hata huwakataza wengine ambao wanatamani kuwakaribisha hao ndugu na kuwafukuza watoke kwenye kusanyiko. \ No newline at end of file diff --git a/01/11.txt b/01/11.txt new file mode 100644 index 0000000..74b53da --- /dev/null +++ b/01/11.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 11 Mpenzi, usiige kilicho kibaya, bali iga kilicho chema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu; na yeye atendaye mabaya hajamwona Mungu. \v 12 Demetrio ameshuhudiwa na wote na kweli yenyewe. sisi pia ni mashahidi, na unajua kuwa ushahuhuda wetu ni wa kweli. \ No newline at end of file diff --git a/01/13.txt b/01/13.txt new file mode 100644 index 0000000..b41a02c --- /dev/null +++ b/01/13.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 13 Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kukuandikia kwa kalamu na wino. \v 14 Bali ninatarajia kukuona hivi karibuni, na tutaongea nawe ana kwa ana. \v 15 Amani iwe pamoja nawe. Marafiki wanakusalimu. Wasalimu marafiki kila mmoja kwa jina lake. \ No newline at end of file diff --git a/LICENSE.md b/LICENSE.md new file mode 100644 index 0000000..d31d4f9 --- /dev/null +++ b/LICENSE.md @@ -0,0 +1,39 @@ + +## Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International + +### Human-Readable Summary + + +The Creative Commons Attribution-Share Alike 4.0 International License is available at +http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0/. + +#### This is a human-readable summary of (and not a substitute for) the License. + + +### You are free to: + + +* **Share** — copy and redistribute the material in any medium or format. + +* **Adapt** — remix, transform, and build upon the material for any purpose, even commercially. + + The licensor cannot revoke these freedoms as long as you follow the license terms. + +### Under the following terms: + +* **Attribution** —You must give appropriate credit, provide a link to the license, and indicate if changes were made. You may do so in any reasonable manner, but not in any way that suggests the licensor endorses you or your use. + +* **ShareAlike** — If you remix, transform, or build upon the material, you must distribute your contributions under the same license as the original. + +* **No additional restrictions** — You may not apply legal terms or technological measures that legally restrict others from doing anything the license permits. + + +### Notices: + +* You do not have to comply with the license for elements of the material in the public domain or where your use is permitted by an applicable exception or limitation. + +* No warranties are given. The license may not give you all of the permissions necessary for your intended use. For example, other rights such as publicity, privacy, or moral rights may limit how you use the material. + + + +This PDF was generated using Prince (https://www.princexml.com/). \ No newline at end of file diff --git a/front/title.txt b/front/title.txt new file mode 100644 index 0000000..c51b0fa --- /dev/null +++ b/front/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +3 Yohana \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json new file mode 100644 index 0000000..18a1f25 --- /dev/null +++ b/manifest.json @@ -0,0 +1,29 @@ +{ + "package_version": 6, + "format": "usfm", + "generator": { + "name": "ts-desktop", + "build": "27" + }, + "target_language": { + "id": "sw", + "name": "Kiswahili", + "direction": "ltr" + }, + "project": { + "id": "3jn", + "name": "3 John" + }, + "type": { + "id": "text", + "name": "Text" + }, + "resource": { + "id": "reg", + "name": "Regular" + }, + "source_translations": [], + "parent_draft": {}, + "translators": [], + "finished_chunks": [] +} \ No newline at end of file