swc_luk_text_reg_Uncomplete/03/23.txt

1 line
222 B
Plaintext

\v 23 Wakati Yesu alianza kazi yake, alikuwa na mwako karibuni tatu. Alikuwa (vile balikuwa bana waziya) mtoto wa Yusufu, mtoto wa Eli; \v 24 Mtoto wa Matatia, mtoto wa Lawi, mtoto wa Melki, mtoto wa Yana, mtoto wa Yusufu.