swc_luk_text_reg_Uncomplete/10/01.txt

1 line
240 B
Plaintext

\c 10 \v 1 Kiisha, bwana akachaguwa wengine makumi saba na akawatuma mbili mbili kwenda kwa migini iliyo kuwa mbele yao. \v 2 Akasema "shamba ni kubwa, lakini watu ja kazi si wengi mu mwambiye mwenye shamba atume upesi watu ja kazi wengine.