swc_luk_text_reg_Uncomplete/01/24.txt

1 line
217 B
Plaintext

\v 24 Nakisha wakati bibi yake Elizabeti arikuya na mimba, kisha miezi tano arianza kufichama, nakurisemeya yeye moya. \v 25 Tazama hivi Bwana ananite ndeya; aritazam macho yake kwangu na kunitosha haya mbele ya watu.