\v 31 Kwani mmoja alikuwa akipita kwa ile njia, akamwona, akapita pembe na kumwacha pale. \v 32 Kiisha mtu mwengine, mlawi naye pia alifika kwa ile fasi, akamuona, na apita ayake.