Sun Oct 11 2020 19:54:06 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 19:54:07 +01:00
parent d922300a17
commit d43bdc9fa8
4 changed files with 5 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
Nanyi waume muwapende wake wenu sawa vile Kristo alivyopenda kanisa na kutoa uzima wake kwa ajili yake. 26 Alifanya hivi kusudi atakase kanisa kwa ajili ya Mungu, akilisafisha kwa maji na kwa neno. 27 Alitaka hivi kujipatia yeye mwenyewe kanisa tukufu na takatifu, lisilokuwa na taka wala kikunjo wala kilema chochote.
\v 25 Nanyi waume muwapende wake wenu sawa vile Kristo alivyopenda kanisa na kutoa uzima wake kwa ajili yake. \v 26 Alifanya hivi kusudi atakase kanisa kwa ajili ya Mungu, akilisafisha kwa maji na kwa neno. \v 27 Alitaka hivi kujipatia yeye mwenyewe kanisa tukufu na takatifu, lisilokuwa na taka wala kikunjo wala kilema chochote.

1
05/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Hivi vilevile waume wanapaswa kupenda wake wao kama vile wanavyopenda miili yao wenyewe. Yule anayependa muke wake, anajipenda yeye mwenyewe. \v 29 Kwa maana hakuna mtu anayeweza kuchukia mwili wake mwenyewe, lakini anaukulisha na kuuchunga kama Kristo anavyotendea kanisa, \v 30 kwa sababu sisi ni viungo vya mwili wake.

1
05/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Ni sawasawa inavyosemwa katika Maandiko Matakatifu: «Kwa sababu hii, mume ataacha baba yake na mama yake na kuungana na muke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja.» 32 Ni vigumu sana kuelewa siri hii, lakini ninasema mambo yanayoelekea Kristo na kanisa.

View File

@ -89,6 +89,8 @@
"05-15",
"05-18",
"05-22",
"05-25",
"05-28",
"06-title",
"06-01",
"06-04",