Sun Oct 11 2020 19:44:06 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 19:44:06 +01:00
parent 0691bb0276
commit 9895ec6c9d
3 changed files with 4 additions and 0 deletions

2
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\c 5 Mufuate tabia ya Mungu kwa maana ninyi ni watoto wake wapendwa. 2 Muishi katika upendo kama vile Kristo alivyotupenda na kutoa maisha yake kwa ajili yetu kama vile matoleo na sadaka ya kuteketezwa kwa moto yenye harufu nzuri inayomupendeza Mungu.
3 Kama vile inavyowapasa watu wa Mungu kuishi, tendo lolote la uasherati, la uchafu wala la tamaa ya mali lisisikilike kati yenu. 4 Vilevile kusisikilike maneno ya matusi ya ovyo ovyo wala machafu, kwa maana hayana mafaa. Kinachofaa ni kumushukuru Mungu

1
05/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 5

View File

@ -80,6 +80,7 @@
"04-25",
"04-28",
"04-31",
"05-title",
"06-title",
"06-01",
"06-04",