diff --git a/05/31.txt b/05/31.txt index edab751..a2ce345 100644 --- a/05/31.txt +++ b/05/31.txt @@ -1 +1 @@ - Ni sawasawa inavyosemwa katika Maandiko Matakatifu: «Kwa sababu hii, mume ataacha baba yake na mama yake na kuungana na muke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja.» 32 Ni vigumu sana kuelewa siri hii, lakini ninasema mambo yanayoelekea Kristo na kanisa. \ No newline at end of file +\v 31 Ni sawasawa inavyosemwa katika Maandiko Matakatifu: «Kwa sababu hii, mume ataacha baba yake na mama yake na kuungana na muke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja.» \v 32 Ni vigumu sana kuelewa siri hii, lakini ninasema mambo yanayoelekea Kristo na kanisa. \v 33 Ingawa hivi, kwa ngambo yenu vilevile, kila mume anapaswa kumupenda muke wake kama vile anavyojipenda, na kila muke anapaswa kuheshimu mume wake. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 8a30286..c6a360c 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -91,6 +91,7 @@ "05-22", "05-25", "05-28", + "05-31", "06-title", "06-01", "06-04",