diff --git a/05/05.txt b/05/05.txt index 283f1f4..7533548 100644 --- a/05/05.txt +++ b/05/05.txt @@ -1 +1 @@ -\v 5 Mujue waziwazi kwamba mwasherati yeyote na mchafu na mwenye tamaa ya mali (mwenye tamaa ni kama mwenye kuabudu sanamu), hao wote hawatapewa sehemu ya urizi katika Ufalme wa Kristo na Mungu. 6 \v 6 Mtu asiwadanganye na maneno yasiyokuwa na maana; kwa sababu ya makosa kama hayo, Mungu anawaazibu kwa kasirani yake wale wasiomutii. 7 \v 7 Basi musishirikiane na watu kama wale. \ No newline at end of file +\v 5 Mujue waziwazi kwamba mwasherati yeyote na mchafu na mwenye tamaa ya mali (mwenye tamaa ni kama mwenye kuabudu sanamu), hao wote hawatapewa sehemu ya urizi katika Ufalme wa Kristo na Mungu. \v 6 Mtu asiwadanganye na maneno yasiyokuwa na maana; kwa sababu ya makosa kama hayo, Mungu anawaazibu kwa kasirani yake wale wasiomutii. \v 7 Basi musishirikiane na watu kama wale. \ No newline at end of file diff --git a/05/08.txt b/05/08.txt new file mode 100644 index 0000000..2fab8ba --- /dev/null +++ b/05/08.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 8 Zamani muliishi katika giza, lakini sasa, kwa kuungana kwenu na Bwana, munaishi katika mwangaza. Muishi kama watoto wa mwangaza, \v 9 kwa maana matunda ya mwangaza ni wema wa kila namna, haki na ukweli. \v 10 Mujikaze kutambua mambo yanayomupendeza Bwana. \v 11 Musishiriki katika matendo ya giza yasiyofaa, lakini muyafichue. \v 12 (Kwa maana ni haya kusema juu ya mambo watu hao wanayofanya kwa siri.) \ No newline at end of file diff --git a/05/13.txt b/05/13.txt new file mode 100644 index 0000000..d821fa9 --- /dev/null +++ b/05/13.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 13 Lakini matendo yale yote yanapofunuliwa katika mwangaza, yanaonekana wazi. 14 \v 14 Kwa maana yote yanayoonekana wazi yanageuka mwangaza. Ni kwa hiyo inasemwa hivi: «Amuka wewe unayelala! Ufufuke kutoka kati ya wafu, naye Kristo atakuangazia.» \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 4316cde..5cba81b 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -83,6 +83,8 @@ "05-title", "05-01", "05-03", + "05-05", + "05-08", "06-title", "06-01", "06-04",