swc_eph_text_reg/03/12.txt

1 line
169 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 12 Kwa Yesu Kristo tuna nguvu na uhuru na tumaini kupitia imani yetu kwake. \v 13 Kwa hii nawaomba musichoke kwasabatu ya mateso yangu kwa ajili Yesu, ni furao yangu.