swc_col_text_reg_Uncomplete/01/01.txt

1 line
245 B
Plaintext

\c 1 \v 1 Paulo mtume wa Yesu Kristo kwa nguvu ya Mungu na Timeteo ndugu wetu. \v 2 Kwa minifu na wandugu katika Kristo neema na amani ya Mungu Baba ikue ndani yenu. \v 3 Tuna sema aksanti kwa Mungu baba na Yesu Kristo, tuna waombea kila wakati.