swc_col_text_reg/01/24.txt

1 line
478 B
Plaintext

\v 24 Sasa nafurahi katika mateso yangu ajili yenu. ninalipa deni ya tabu ya juu ya mapendo aliyo nayo kuhusu mwiliwake, kanisa. \v 25 Ni juu ya ile kanisa njoo niko mtumishi sawa na kazi niliyopewa na Mungu, juu ya kutimiza maandiko. \v 26 Hii ndiyo siri ya ukweli uliyofichwa toka vizazi vya zamani, sasa inafunuliwa kwa wale waliyo muamini. \v 27 Alipenda kuonesha utajiri wa siri ya utkufu katikati ya wapagano. Ni kusema Kristo yuko kwenu tumaini ya utkufu utakaokuja