swc_col_text_reg/03/18.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 18 Nyinyi wanawake muwaheshimu waume zenu, kama inavyompendeza Bwana. \v 19 Na nyinyi wanaume muwapende wake zenu, na musiwachukize. \v 20 20Nyinyi watoto muwaheshimu wazazi wenu kwa kila jambo, kkwa maana inampendeza Bwana. \v 21 Na nyinyi wazazi pia, musiwachukize watoto wenu, kusudi wasichoke.